Mambo yanaendelea. Sasa, kwa url ya http://www.jamboforums.com, utafika kwa jambonetwork.com/jamboforums, lakini ‘not found’.

Jambo Blog Network pia imerudi. Na bado wanaendelea kuiba makala za wanablogu na kuzitangaza kwa JBN. Nimeshalalimikia tabia hiyo. Hamna cha kusema tena.

Advertisements