Not all comments will be accepted for display. Issues dealt with in this blog are based on publicly available information. The same is applied to your comments. If you wish to make allegations with no supporting evidence, go to jamboforums, or start your own blog.

Ukitoa maoni yako kwenye blogu hii, sio jukumu langu kuyatangaza. Msingi wa blogu yangu ni habari ambayo ni ya wazi. Ukitaka kutuambia stori bila kujua kama ni kweli au la, napendekeza utembelee jamboforums au uanzishe blogu yako mwenyewe.

One Response to “Maoni/Comments”

  1. NINA KEMI Says:

    me ni mwana harakati wa elimu lakini kuna jambo moja linakwaza sana mimi nikiwa kama mwana harakati wa kuleta maendeleo ya elimu katika nchi yetu. tukiangalia vyuo vingi vya elimu yaani mambo wanayoyafanya hayaendani na maadili ya kazi hiyo ambayo mwalimu huyu anakwenda yaani kuwafundisha wanafunzi wa shule. unakuta mkufunzi anamchapa fimbo mwalimu tarajali na wakati huo huo serikali inawaambia wanafunzi wasipigwe viboko au mwlalimu tarajali anatukanwa na mkufunzi matusi ya nguoni, sasa mimi ningependa kuishauri serikali juu ya mambo mabaya wanayotendewa walimu wetu huko vyuoini ipige marufuku juu ya vitendo vya kinyama wanavyo fanyiwa walimu wetu huko vyuoni.

Leave a comment